Culture: Hymns


Mt. 16:24 - Ajitwike msalaba wake, anifuate.

UNGEISHI KWA YESU
Would You Live for Jesus?

Ungeishi kwa Yesu, kuwa mwema sana?
Ungetembea kwa njia nyembamba?
Mizigo yako yote umwache kubeba,
Atende apendavyo.

Nguvu zake zitakuwezesha,
Damu yake itakusafisha;
Upendo wake utakujaza,
Ni bora atende apendavyo.

Ungempa nafasi kazini kukwita?
Ungejua raha ya kujitoa?
Ungeokolewa ili uwe imara?
Atende apendavyo.

Ungepata mahali kwa Ufalme wake?
Ungejaribu na maonji yake?
Ungetenda kazi kwa utumishi wake?
Atende apendavyo.

[an error occurred while processing this directive]